Перейти к содержимому

Sababu za biashara za wazawa kulindwa

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Sababu za biashara za wazawa kulindwa

493 просмотра · 2 дня назад
UTV Tanzania
182 тыс. подписчиков
493 просмотра · 2 дня назад
Kufuatia wimbi la wageni kufanya biashara ndogo ndogo ambazo hupaswa kufanywa na wazawa, Tanzania na Kenya zimetoa matamko ya zuio kwa wageni kufanya biashara hizo. Je, unafahamu sababu iliyopo nyuma yake? Mchambuzi wa Masuala ya Uchumi, Walter Nguma anafafanua sababu zilizosukuma Serikali kuingilia kati na kulinda biashara za wazawa.