AINA 5 ZA VIFARANGA HUPASWI KUFUGA
AGALUS farm
0:00 / 0:00
AINA 5 ZA VIFARANGA HUPASWI KUFUGA
4 130 просмотров · 4 года назад
AGALUS farm
125 тыс. подписчиков
4 130 просмотров · 4 года назад
Aina za vifaranga vya kufuga lazima viwe ni vile vyenye afya njema. Unapo chagua vifaranga vya kufuga zingatia sifa hizi kuku 5.
✍️Awe na umbo kubwa
✍️Asiwe na ulemavu
✍️Awe mchangamfu
✍️Awe na mdomo usio na ulemavu
#vifaranga
👇Jifunze zaidi kuhusu kulea vifaranga, magonjwa ya vifaranga n. K Kupitia playlist ifuatayo kuangalia video za kuhusu vifaranga vya kuku tu
• Uleaji wa vifaranga vya kuku