Перейти к содержимому

PATAKATIFU – Tumaini Choir Tanzania | Official Video | Gospel Music

Tumaini Choir Tanzania (TCT)

0:00 / 0:00

PATAKATIFU – Tumaini Choir Tanzania | Official Video | Gospel Music

123 просмотра · 2 дня назад
Tumaini Choir Tanzania (TCT)
117 подписчиков
123 просмотра · 2 дня назад
🎵 PATAKATIFU – Tumaini Choir Tanzania | Official Video 🎵 Karibu kutazama na kusikiliza wimbo “PATAKATIFU” kutoka Tumaini Choir Tanzania. 🙏🎶 Tunamshukuru Mungu kwa kutupa nafasi ya kumtukuza kupitia muziki na huduma ya uimbaji. Tunaomba wimbo huu uwe baraka, faraja na ujumbe wa kumkaribisha kila mmoja katika uwepo wa Mungu. ❤️🙏 Kama umebarikiwa na wimbo huu: 👍 LIKE video 💬 COMMENT – Tuambie, ni sehemu gani ya wimbo umeipenda zaidi? 🔔 SUBSCRIBE kwenye channel ya Tumaini Choir Tanzania 📲 SHARE video hii na familia na marafiki. 🎶 TUMAINI CHOIR TANZANIA 🙏 Mungu awabariki sana kwa support yenu. #TumainiChoirTanzania #Patakatifu #GospelMusic #GospelTanzania #TanzaniaGospel #GospelMusicTanzania #ChristianMusic