HISTORIA NZIMA YA SR LEONIA MDOE MAMA MKUU MSTAAFU 2000-2012
(UMTV)USAMBARA MOUNTAIN TV COLU
0:00 / 0:00
HISTORIA NZIMA YA SR LEONIA MDOE MAMA MKUU MSTAAFU 2000-2012
1 686 просмотров · 8 дней назад
(UMTV)USAMBARA MOUNTAIN TV COLU
1,27 тыс. подписчиков
1 686 просмотров · 8 дней назад
Sr leonia mdoe ni mwanashirika wa Shirika la Masista wa Mama wetu wa Usambara ambaye aliongoza shirikia kwa miongo miwili kuanzia 2000-2012 kwa takriban miaka 12 akisaidiana na wana shirika wenzake
Sr leonia mdoe Mama Mkuu Mstaafu atakumbukwa kwa mengi katika shirika
Kabla ya kifo chake miaka 5 nyuma alifanyiwa mahojiano na UMTV akaeleza nmna alivyopata wito wake akisema kwamba Wito wake umetokana na Utume au Uinjilishaji unaofanywa na Masista hao akatoa msisistizo kuendelea na utume huo kwa kufuata kanuni na muongozo wa shirika hilo
Pumzika kwa Amani Sr Mama Mkuu Mstaaafu Leonia Mdoe