KUTUNZA USAFI / UTAKATIFU (ASKOFU AYOUB MUNNA - 02/08/2026)
FPCT ARUSHA CITY CHURCH
0:00 / 0:00
KUTUNZA USAFI / UTAKATIFU (ASKOFU AYOUB MUNNA - 02/08/2026)
99 просмотров · 2 мес. назад
FPCT ARUSHA CITY CHURCH
360 подписчиков
99 просмотров · 2 мес. назад
KUTUNZA USAFI / UTAKATIFU
Karibu kutazama ujumbe huu wenye mafunzo kuhusu Kutunza Usafi na Utakatifu. Katika video hii askofu anafundisha umuhimu wa kuishi maisha yanayompendeza Mungu kwa kuwa safi katika moyo, mawazo, maneno, na matendo.
Aidha anafundisha kuwa utakatifu si chaguo bali ni wito kwa kila mwamini. Tunapodumu katika usafi wa kiroho, tunamkaribia Mungu na kuwa mashuhuda wazuri wa Injili
"Bali, kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote." — 1 Petro 1:15–16
Usisahau:
Like
Comment 💬
Share
Subscribe ili usikose mafundisho mengine ya kujenga imani yako.
Mungu akubariki sana kwa kutazama!
#Kutakatifu #UsafiWaKiroho #NenoLaMungu #Ukristo #Mahubiri #Imani #YesuKristo #Injili #Biblia #MaishaYaKikristo