UKICHUKULIWA NA MASHAKA YAKO - NYIMBO ZA WOKOVU no 140
KWIZERA REMY | SWAHILI GOSPEL SOUNDS и ещё 2
0:00 / 0:00
UKICHUKULIWA NA MASHAKA YAKO - NYIMBO ZA WOKOVU no 140
5 542 просмотра · 7 месяцев назад
KWIZERA REMY | SWAHILI GOSPEL SOUNDS и ещё 2
5 542 просмотра · 7 месяцев назад
Welcome and subscribe to @swahiligospelsounds , God bless you.
1Ukichukuliwa na mashaka yako na kuona hufu kwamba utakwama, uhesabu mibaraka yake Mungu, na utashangaa kwa rehema yake.
Uhesabu mibaraka yote Mungu aliyoyakubariki! Ukumbuke mambo yote pia, na utashangaa kwa rehema yake!
2Na ukiudhiwa na huzuni nyingi, ukiona msalaba ni mzito, uhesabu mibaraka kuchwa pia, na kwa moyo wote utasifu Mungu.
3Wengi watamani mali ya dunia; utajiri wako ni Mwenyezi Mungu. Uhesabu mibaraka na kumbuka: Mali haiwezi kufungua mbingu.
4Na katika mambo yote huku chini ukumbuke pendo kubwa la Mwokozi! Na ujumlishe mibaraka yote, tena mwisho atakuchukua kwake!