Перейти к содержимому

NEPAL MAAFA MAKUBWA! TOPE LINAMEZA WATU - JAMANI MUNGU YUPO..

Global TV Online

0:00 / 0:00

NEPAL MAAFA MAKUBWA! TOPE LINAMEZA WATU - JAMANI MUNGU YUPO..

117 908 просмотров · 7 дней назад
Global TV Online
5,92 млн подписчиков
117 908 просмотров · 7 дней назад
NEPAL MAAFA MAKUBWA! TOPE LINAMEZA WATU - JAMANI MUNGU YUPO.. Nepal imejikuta katika hali ya kushangaza sana katika kipindi kifupi. Mwishoni mwa Julai, sehemu za kusini-mashariki mwa nchi zilishuhudia vurugu za kidini kati ya baadhi ya Wahindu na Waislamu. Watu waliingia mitaani, polisi wakatumia nguvu kutawanya makundi, watu wakafariki na maeneo kadhaa yakawekewa amri ya kutotoka nje. Kabla hata vumbi la mgogoro huo halijatulia, mwezi Agosti Nepal ikakumbwa na janga jingine—lakini safari hii si la kidini. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com