Перейти к содержимому

Tamthilia Nguvu ya Mapenzi

Kasha la Kale

0:00 / 0:00

Tamthilia Nguvu ya Mapenzi

2 774 просмотра · 1 месяц назад
Kasha la Kale
374 подписчика
2 774 просмотра · 1 месяц назад
Mapanzi ni kitu cha ajabu sana.Siku zote Mapenzi huchagua yule unaeridhika nae bila ya kujali mazingira au hali iliyopo.Mfalme Mahokea amealika wana wafalme wawili kwenye unyago wa Binti yake Sario,kwa matarajio kuwa mmoja kati ya vijana hao atavutiwa na binti yake na hatimaye kuolewa nae.Wana wafalme wamewasili na wameingia kwenye mgogoro na ushindani wa kumpata binti huyo.Lakini binti hajali mawazo ya baba yake ambae ni mfalma wala haoni thamani ya wito wa wanawafame waliolikwa!kwani moyo wake umempenda Mtumishi wa kasri lao Selepe,Selepe ambae amekula kiapo cha kutomsaliti mfanyakazi mwenzie wa kike ambae wamezama kwenye penzi zito!.Je mwisho itakuwaje?Fuatilia ujue NGUVU YA MAPENZI