Riverside: Bryson Mwamburi alikamatwa Dusit D2 akidhaniwa kuwa ni gaidi Kenya
BBC News Swahili
0:00 / 0:00
Riverside: Bryson Mwamburi alikamatwa Dusit D2 akidhaniwa kuwa ni gaidi Kenya
44 450 просмотров · 7 лет назад
BBC News Swahili
1 млн подписчиков
44 450 просмотров · 7 лет назад
Bryson Mwamburi ni muathiriwa wa shambulizi la kigaidi lililotekelezwa katika hoteli ya Dusit D2 siku ya Jumanne jijini Nairobi.
Hata baada ya kuepuka kufyatuliwa risasi na mshambuliaji mmoja, alikamatwa na maafisa wa polisi kama mshukiwa.
Je nini kilichofuatia? #Riversideattack #DusitD2 #NairobiAttack