Перейти к содержимому

Eden Choir - Moravian Arusha - Hakuna (Official Live Video)

Eden Choir Moravian Arusha

0:00 / 0:00

Eden Choir - Moravian Arusha - Hakuna (Official Live Video)

2 918 просмотров · 15 часов назад
Eden Choir Moravian Arusha
2,71 тыс. подписчиков
2 918 просмотров · 15 часов назад
Katika dunia yenye miiba mingi, kama wanadamu ipo misingi ya tumaini tulio jiwekea. Kwa hiyo, mtu anao uwezo wa kuweka tumaini katika watu, vitu na hata mali kwa kadri ya upeo alio nao. Hata hivyo neno la Mungu linatukumbusha kuwa, katika vyote tunavyo vipa thamani upo ukomo. Aidha watu huondoka, iwe kwa wema au shari, mali na vitu pia huisha na pengine visiwe msaada wakati wote (Yer 17:5). Lakini lipo tumaini katika Mungu, ya kuwa tunapopita katika dhiki yeye yupo nasi nyakati zote. Wimbo huu ukawe chachu kwako ya kuona tumaini katika Kristo, Niko ambaye yupo hata ukamilifu wa dahari. CREDITS: Song Performance: Composer: Michael Kakale Vocal Coach: Barton Mwasampeta Leader: Baraka Ihuku and Caleb Kimambi MD & Main Keys: Amos Phillipo Second Keys: Sospeter Mwita Aux: Justine Mbwana Aux 2: Charles Junior Solo guitar: Andrew Michael Bass guitar: Glorie Bass Drums: Shedrack shayo ................. Video Production: Samvista Audio Producer: Quillian Japhet Kilago Lights, Screens, & Stage: Jorum Sound: Tumaini Shangilieni + Nelly Music Sound Engineers: Balisija Production Manager; Daniel Mwamwile 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦: Instagram:    / edenmoravianarusha Facebook:    / ededenmoravianarusha Tiktok:    / edenmoravianarusha YouTube: / edenmoravianarusha