🩸Polycythemia Ni Nini? | Sababu, Dalili na Tiba ya 'Damu Nyingi'
Serenox Africa
0:00 / 0:00
🩸Polycythemia Ni Nini? | Sababu, Dalili na Tiba ya 'Damu Nyingi'
2 933 просмотра · 1 год назад
Serenox Africa
158 подписчиков
2 933 просмотра · 1 год назад
Polycythemia Ni Nini? | Fahamu Magonjwa ya Damu
🩸 Je, umewahi kusikia mtu akisema ana “damu nyingi” hadi kulazimika kupunguza damu? Hali hii inaitwa Polycythemia — ongezeko la seli nyekundu za damu mwilini linaloweza kuathiri afya kwa namna mbalimbali.
Karibu kwenye Fahamu Magonjwa ya Damu, ambapo Idara ya Magonjwa na Saratani za Damu – MUHAS, kwa kushirikiana na SerenOx Africa, inaleta elimu kuhusu magonjwa ya damu na saratani zake.
Katika video hii, wataalamu wetu wanazungumzia:
🔴 Chanzo cha Polycythemia
🔴 Dalili kuu na ishara mwilini
🔴 Hatari zinazoweza kutokea
🔴 Namna ya kutambua na kutibu hali hii
🔔 Bonyeza "Subscribe" ili usikose elimu zaidi kutoka kwenye Fahamu Magonjwa ya Damu.
---
Have you ever heard of someone being told they have “too much blood”...? This condition is called Polycythemia — an abnormal increase in red blood cells that can affect your health in various ways.
Welcome to Learn About Blood Disorders, where Muhimbili University (MUHAS) Department of Haematology and Blood Transfusion , in collaboration with SerenOx Africa, shares expert knowledge on blood diseases and related cancers.
In this video, our specialists explain:
🔴 The causes of Polycythemia
🔴 Its main symptoms and warning signs
🔴 Possible complications
🔴 How the condition is diagnosed and managed
📌 Watch now to better understand Polycythemia and how to take charge of your health.
🔔 Click “Subscribe” so you don’t miss more health education from Learn About Blood Disorders.
Brought to you by: @muhimbiliuniversity980 , @SerenOxAfrica
Presented by: Dr. Felister Seleki
Produced by: @k15photos
Edited by: Wideangle Media