MIAKA YA BAADAE DUNIA INAHARIBIKA WATU WANAISHI CHINI YA ARDHI
Mr. Khan recaps
0:00 / 0:00
MIAKA YA BAADAE DUNIA INAHARIBIKA WATU WANAISHI CHINI YA ARDHI
5 344 просмотра · 2 г. назад
Mr. Khan recaps
67,8 тыс. подписчиков
5 344 просмотра · 2 г. назад
Baada ya kutokea kwa uharibifu wa mazingira duniani uliosababishwa na mabomu ya kisayansi ambayo yalipelekea hewa ya oxygen kutokuwa salama kwa matumizi ya binaadamu hapa, yakajengwa mahandaki ya kisayansi kwajili ya kuhifadhi vizazi vya baadae ambavyo vitaendelea baadae baada ya hewa ya oxygen kuwa salama.
..............................................................
Movie name: Air (2015)