Перейти к содержимому

UTEKELEZAJI WA KILIMO IKOLOJIA HAI - MWANGA BORA RFA JUMAMOSI OKTOBA 3. 2026

Radio Free Africa

0:00 / 0:00

UTEKELEZAJI WA KILIMO IKOLOJIA HAI - MWANGA BORA RFA JUMAMOSI OKTOBA 3. 2026

12 просмотров · 1 день назад
Radio Free Africa
77 подписчиков
12 просмотров · 1 день назад
🌱 MWANGABORA | RADIO FREE AFRIKA MADA: UTEKELEZAJI WA KILIMO IKolojia HAI Kilimo ikolojia hai kina nafasi gani katika kulinda mazingira, kuongeza uzalishaji wa chakula na kuboresha maisha ya wakulima? Ni kwa namna gani wakulima wanaweza kutekeleza kanuni za kilimo ikolojia hai na kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi? Tutajadili kwa kina katika kipindi cha Mwanga Bora, Jumamosi, Oktoba 3, 2026, saa 2:00 hadi 3:00 asubuhi, kupitia Radio Free Afrika. Dar es Salaam – 89.3 MHz Zanzibar (Unguja na Pemba) – 89.3 MHz Njombe – 88.3 MHz Mbeya – 88.9 MHz Songwe – 88.9 MHz Kilimanjaro (Moshi) – 88.2 MHz Dodoma – 89.0 MHz Radio Free Afrika – Sauti ya Afrika. #MwangaBora #RadioFreeAfrika #KilimoIkolojiaHai #KilimoHai #KilimoEndelevu #UsalamaWaChakula #Mazingira #Wakulima #Tanzania