Перейти к содержимому

"KITUO CHA MVULA CHAZIDI KUNG’ARA

Mvula Sports

0:00 / 0:00

"KITUO CHA MVULA CHAZIDI KUNG’ARA

405 просмотров · 1 год назад
Mvula Sports
6,32 тыс. подписчиков
405 просмотров · 1 год назад
Karibu Mvula Sports Academy – kituo kinachoendelea kung’ara kwa kukuza vipaji vya soka nchini Tanzania! 🇹🇿⚽ Katika video hii, tunakuonesha watoto wakifurahia mafunzo ya kitaalamu kutoka kwa Kocha Mwavanga Kihiwelo, ambaye anaweka msingi imara wa nidhamu, mbinu, na uchezaji wa hali ya juu MVULA inaendelea kuwa kitovu cha ndoto za wachezaji chipukizi – mahali ambapo vipaji vinaibuliwa, vinakuza na kuandaliwa kwa mafanikio ya baadaye. 🌟 Fuatilia safari yao! 📍 Mahali: Pugu Kinyamwezi, Dar es Salaam