Mtanzania aliyefia Ukraine "Mwili kuletwa nchini bado kizungumkuti"
Azam TV
0:00 / 0:00
Mtanzania aliyefia Ukraine "Mwili kuletwa nchini bado kizungumkuti"
1 679 просмотров · 3 года назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
1 679 просмотров · 3 года назад
Familia ya Nemes Tarimo ambaye ni Mtanzania anayetajwa kuuawa akiwa vitani nchini Ukraine, imesema mpaka sasa haijapata taarifa rasmi za lini mwili wa marehemu utarejeshwa nchini kwa ajili ya maziko.