Mpina aibuka tena, hoja ya kigezo cha kupita JKT kwenye ajira za vyombo vya ulinzi na usalama
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
Mpina aibuka tena, hoja ya kigezo cha kupita JKT kwenye ajira za vyombo vya ulinzi na usalama
4 612 просмотров · 2 г. назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
4 612 просмотров · 2 г. назад
Wakati Bunge likipitisha bajeti ya kiasi cha Sh3.3 trilioni za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina ameibuka tena kutaka Bunge kuangalia upya azimio lake la kuondoa kigezo cha mafunzo ya JKT kwa wanaoomba nafasi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.
Mpina ameyasema hayo leo Mei 20, 2024, bungeni jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa kwa kuondoa kigezo hicho kunafanya kupata vijana ambao hawana uzalendo bali wenye nia ya kuajiriwa na si wito kama ilivyo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama
Februari 16, 2024 Bunge liliazimia vijana wote wapewe fursa sawa za ajira pale wanapokuwa wametimiza masharti mengine yanayohusika na nafasi ya ajira husika isipokuwa cheti cha JKT na JKU.