Перейти к содержимому

SONONA

Galilaya Central sda choir. Geza kigamboni. GC

0:00 / 0:00

SONONA

6 029 просмотров · 3 месяца назад
Galilaya Central sda choir. Geza kigamboni. GC
28,5 тыс. подписчиков
6 029 просмотров · 3 месяца назад
Katika Miji Mikubwa kuna mkusanyiko wa Watu wengi na shughuli nyingi ambazo zinafanyika. Ndani ya majiji haya watu wanakabiliwa na changamoto mbalimbali na hata wakati mwingine inaoneka hakuna matumaini kwa waliomo ndani ya majiji haya na kuonekana kama Mungu hawezi kuwa karibu nao, kwa yale wanayoyapitia ikiwemo kuongezeka kwa uovu. Lakini kinyume chake NENO LA MUNGU linatupatia mwangaza na matumaini kuhusiana na Mungu anayejali majiji makubwa. Mungu aliyejali Ninawi na kuokoa anaweza kuyaokoa majiji na hicho ndicho anatafuta kufanya kwako uliye ndani ya Jiji kubwa, anakutafuta akuokoe uwe huru.