Перейти к содержимому

MWINYI AINGIA IKULU,NYERERE AAGA TAIFA 1985

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

MWINYI AINGIA IKULU,NYERERE AAGA TAIFA 1985

97 180 просмотров · 6 лет назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
97 180 просмотров · 6 лет назад
Safari ya kung’atuka madarakani kwa Mwalimu Julius Nyerere baada ya kuhudumu kwa miaka 24 kwa nafasi ya urais wa Tanganyika na baadaye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilianza Jumatatu ya Oktoba 14, 1985. Ilikuwa ni baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 27 na mgombea pekee wa nafasi ya urais, Ali Hassan Mwinyi akaibuka mshindi.