Перейти к содержимому

Kofia za vito kuwa na umuhimu kwa jamii za Waswahili maeneo ya pwani

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

Kofia za vito kuwa na umuhimu kwa jamii za Waswahili maeneo ya pwani

7 003 просмотра · 2 года назад
Citizen TV Kenya
6,68 млн подписчиков
7 003 просмотра · 2 года назад
Kofia za vito ni vazi la kitamaduni lenye umuhimu mkubwa kwa jamii za Waswahili katika maeneo ya pwani. Kofia za vito huvaliwa kwa kanzu na wanaume Wa jamii ya Waislamu wakati wa sherehe za kitamaduni, mikutano ya jamii, harusi, na hata wakati wa Swala.