Перейти к содержимому

Exclusive Interview na Rais Mwinyi || Uchumi wa bluu, wanaompinga, kutoa ajira 300,000, Maalim Seif

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

Exclusive Interview na Rais Mwinyi || Uchumi wa bluu, wanaompinga, kutoa ajira 300,000, Maalim Seif

1 057 просмотров · 4 года назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
1 057 просмотров · 4 года назад
Akiwa ametimiza mwaka mmoja madarakani, Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi licha ya kutambua kuwepo minong’ono na watu wanaompinga, ameweka msimamo kuwa hilo halitamzuia kuendelea na mikakati ya kuwaletea Wazanzibari maendeleo aliyoahidi wakati wa kampeni. Akizungumza na waandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) katika mahojiano maalumu jana, Ikulu mjini Unguja, Dk Mwinyi aliyeshinda urais katika uchaguzi wa mwaka 2020, alisema kwa hatua ambazo amekuwa akizichukua dhidi ya watumishi wasioenda na maono yake na hata washindani wake katika siasa, anaamini hataungwa mkono na watu wote.