Перейти к содержимому

MBALI KULE NASIKIA | Angels we have heard on high — A Christmas song — Swahili version

Swahili Worship Hymns и SWAHILI GOSPEL SOUNDS

0:00 / 0:00

MBALI KULE NASIKIA | Angels we have heard on high — A Christmas song — Swahili version

45 871 просмотр · 9 месяцев назад
Swahili Worship Hymns и SWAHILI GOSPEL SOUNDS
45 871 просмотр · 9 месяцев назад
Mbali kule nasikia malaika wa mbinguni, Wakiimba wengi pia wimbo huo juu angani: Gloria in excelsis Deo, Gloria in excelsis Deo. Wachunga tuambieni sababu ya nyimbo hizo? Mwenye kuimbiwa ni nani, juu ya nani sifa hizo? Gloria in excelsis Deo, Gloria in excelsis Deo. Je hamjui jambo kuu la kuzaliwa Mwokozi? Habari ya wimbo huo, Ndiyo kumshukuru Mwenyezi. Gloria in excelsis Deo, Gloria in excelsis Deo. Kweli, nasi twende hima, tufike kule aliko, Tuone mtoto na mama, tuwasalimie huko. Gloria in excelsis Deo, Gloria in excelsis Deo.