Перейти к содержимому

XOUH - ZAMANI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Xouh

0:00 / 0:00

XOUH - ZAMANI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

1 636 727 просмотров · 4 месяца назад
Xouh
113 тыс. подписчиков
1 636 727 просмотров · 4 месяца назад
Stream Zamani on all digital platforms https://onerpm.link/264117172319 Follow Xouh Instagram: https://www.instagram.... TikTok: https://www.tiktok.com... Facebook: https://www.facebook.c... X/Twitter: https://x.com/xouh__ Listen to Xouh Zamani: https://onerpm.link/264117172319 Audiomack: https://audiomack.com/... YouTube:    • XOUH - ZAMANI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)   BoomPlay: https://www.boomplay.c.... Spotify: https://open.spotify.c.... Apple Music:   / xouh   Xouh - Zamani lyrics Naitwa Xouh Jeydrama on the beat Mmmh Eeeh! Aliniacha eti kisa Nampenda sana Nikapata wangu tabia zikaendana Siri sio siri tena sasahivi si tunapendana Na tuna mpango wa kuwa baba na mama Ex tuliza wenge huku nimetulia Maumivu nisha forget nimesahau kulia Eti sitopata kama wewe hivi nani alikuambia Haujamfikia tena sikia Moja - mi ni mzuri kwenye hilo hakuna wa kupinga hoja Mbili - huna siri penzi lako lilikua kama pilipili Tatu - akili zako fyatu penzi gani tunashare watu watatu Nne - Tusijuane naomba tusisalimiane Mambo ya zamani nimeshatupaga kule Usinisumbue unajisumbua bure, Miee Mambo ya zamani mi nishatupaga kule , Miee Usinisumbue unajisumbua bure Mambo ya zamani nimeshatupaga kule Usinisumbue unajisumbua bure, Eeh Mambo ya zamani mi nishatupaga kule , Mmh Usinisumbue unajisumbua bure Nachanganikiwa nikimuona mpenzi Na Kasema mi ni wake kuniacha hawezi Halali bila mi ndo wake usingizi Anawaka waka kama mbalamwezi Nampa chukua Nampa Nampa tamu yote yote yote Nampa chukua Nampa Nampa tamu yote yote yote Ex tuliza wenge huku nimetulia Maumivu nisha forget nimesahau kulia Eti sitopata kama wewe hivi nani alikuambia Haujamfikia tena sikia Moja - mi ni mzuri kwenye hilo hakuna wa kupinga hoja Mbili - huna siri penzi lako lilikua kama pilipili Tatu - akili zako fyatu penzi gani tunashare watu watatu Nne - Tusijuane naomba tusisalimiane Mambo ya zamani nimeshatupaga kule Usinisumbue unajisumbua bure, Miee Mambo ya zamani mi nishatupaga kule , Miee Usinisumbue unajisumbua bure Mambo ya zamani nimeshatupaga kule Usinisumbue unajisumbua bure, Eeh Mambo ya zamani mi nishatupaga kule , Mmh Usinisumbue unajisumbua bure Kc records. #xouh #zamanı