Перейти к содержимому

Joshua Kabitagi_Wewe ni Mungu (Official Music Video)4K

JOSHUA KABITAGI

0:00 / 0:00

Joshua Kabitagi_Wewe ni Mungu (Official Music Video)4K

6 231 просмотр · 3 года назад
JOSHUA KABITAGI
1,53 тыс. подписчиков
6 231 просмотр · 3 года назад
Shalom!!! 1) Mbali na chupa moja ya mafuta kujaza mapipa, unafahamu nini kingine cha kale Mungu alifanya? 2) Mbali na shoka lilizoma kwenye maji na kuelea, unafamu nini kingine cha kale Mungu alifanya? Najua yako mengine mengi sana unayoyajua pia, lakini ndani ya wimbo huu kuna hizo na zaidi ya hayo ambayo yanamtofautisha Mungu na miungu mingine. Nakukaribisha kutizama na kusikiliza ujumbe huu mzuri wa Mungu, natambua kwa neema ya Mungu utakubariki. CREDITS: AUDIO: WINNER SILAYO VIDEO: DIRECTOR LUKIO ‪@lukiopictures‬ DRONE: 4K Studio Butterfly Footage: ‪@SSNDigitalMediaServices‬