TAMALAKI - KWAYA YA MT. GREGORY MKUU, CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE.
MT.GREGORY MKUU CHUO CHA KUMBUKUMBU MWALIMU NYERERE
0:00 / 0:00
TAMALAKI - KWAYA YA MT. GREGORY MKUU, CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE.
225 974 просмотра · 5 лет назад
MT.GREGORY MKUU CHUO CHA KUMBUKUMBU MWALIMU NYERERE
4,01 тыс. подписчиков
225 974 просмотра · 5 лет назад
Hii ni kwaya ya MT. GREGORY MKUU kutoka katika CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE.
TAMALAKI ni moja ya nyimbo iliyomo katika Albamu yenye Nyimbo za kumsifu na Kumtukuza Bwana Mungu wetu.
KARIBU TUUNGANE PAMOJA KATIKA KUUTAZAMA WIMBO HUU.
Unakaribishwa pia kuwa wakala wa Nyimbo zetu, kwa mawasiliano zaidi;
+225735245133 / +255620652793
Unaposikiliza wimbo huu tuombe Mwenyezi MUNGU atujalie daima moyo wa mapendo na daima tuendelee ku TAMALAKI kwa matendo yake makuu.
#kwayakatoliki
#ChuochaKumbukumbuyaMwalimuNyerere
#tmcsmnma
#jaysstudios
MTUNZI; YUSTES SAUTI
ORGANIST: AYUBU MYONGA