Перейти к содержимому

MSIGWA ALIPUKA WAPOTOSHAJI MVUA ZA EL NINO - ATOA UFAFANUZI BAJETI YA MAADALIZI YA MVUA ZA EL NINO

Global TV Online

0:00 / 0:00

MSIGWA ALIPUKA WAPOTOSHAJI MVUA ZA EL NINO - ATOA UFAFANUZI BAJETI YA MAADALIZI YA MVUA ZA EL NINO

3 118 просмотров · 8 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
3 118 просмотров · 8 ч назад
MSIGWA ALIPUKA WAPOTOSHAJI MVUA ZA EL NINO - ATOA UFAFANUZI BAJETI YA MAADALIZI YA MVUA ZA EL NINO Serikali imetoa ufafanuzi wa kina kuhusu mpango wa dharura wa kujiandaa na kukabiliana na madhara ya mvua za El Niño, ikijibu upotoshaji uliojitokeza kuhusu makadirio ya bajeti ya shilingi bilioni 730. Katika taarifa hii, imeelezwa wazi kuwa kiasi hicho si fedha mpya zinazotolewa au kugawanywa, bali ni makadirio jumuishi ya rasilimali kutoka sekta za kiserikali na taasisi binafsi ili kulinda miundombinu, maisha, na mali za wananchi kulingana na utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Tazama zaidi uelewe: • Ukweli kuhusu bajeti ya bilioni 730 • Utabiri wa TMA kuhusu El Niño • Hatua za tahadhari zinazochukuliwa na serikali na sekta binafsi #ElNino #Habari #TMATanzania #GlobalTVOnline #TanzaniaNews ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com