Перейти к содержимому

THE HARD WAY [ 6 ]

TEAM DOKO FILM

0:00 / 0:00

THE HARD WAY [ 6 ]

39 717 просмотров · 1 день назад
TEAM DOKO FILM
190 тыс. подписчиков
39 717 просмотров · 1 день назад
Siri nzito zinaanza kufichuka na mambo yanazidi kuwa moto! Katika Episode hii ya 7: ​💥 Mr Mimi vs Kipara: Vita ya wanaume wawili ikigombania moyo wa mwanamke mmoja ambaye ni kipofu! Je, ni nani atafanikiwa kuuteka moyo wake na kuondoka naye? ​🤰 Fukufuku na Mimba ya Utata: Mume agundua mkewe ana mimba, lakini mshtuko mkubwa unakuja baada ya kubaini mke alijaribu kutoa mimba hiyo! Ni ya nani? Na kuna siri gani nzito iliyojificha nyuma ya mimba hii hadi mume astuke kiasi hicho? ​💥 Kisasi cha Blacklist: Mama mkuu anazidi kuteseka kwa ugonjwa, huku kukiwa na mwanamke mwingine wa nje! Tamani lake kubwa ni mama huyo afe ili arithishe mali... Je, mpango wake mchafu utafanikiwa? ​Usikose kutazama sehemu hii ya ajabu yenye msisimko, usaliti na visanga visivyo na kifani! ​ ​#TheHardWay #TheHardWayEpisode7 #SwahiliDrama #SwahiliMovies #BongoDrama #TrendingTanzania #Episode7 #STORYZAMTAA #SwahiliSeries #BongoMovies2026 #YouTubeTanzania