Перейти к содержимому

Zingatia yafuatayo kabla ya kuolewa. Mume sio Ndugu

Mishta niwa

0:00 / 0:00

Zingatia yafuatayo kabla ya kuolewa. Mume sio Ndugu

1 517 просмотров · 1 год назад
Mishta niwa
7,31 тыс. подписчиков
1 517 просмотров · 1 год назад
Haya ni mambo 20 tu, kati ya mambo ya msingi kuzingatia kabla ya kuolewa na mwanaume yeyote ANGALIZO! video hii sio mwongozo Wala kanuni za kuzingatia kabla ya kuolewa, Ispokuwa ni maoni na ushauri wangu binafsi juu ya kuolewa jinsi ninavyoona ndoa kwa sasa. Kuiamini au kutokuiamini ni uchaguzi wako mwenyewe. Kuolewa kwako kuwe ni matokeo ya uchunguzi na maamuzi yako nje na video hii.Asante🙏🙏 Pia, Lugha na maneno yaliyotumika ni ya kifasihi zaidi ili kudumisha utamu wa lugha ya kiswahili, hivyo usiyabebe hivyohivyo jinsi yalivyo. Vile vile napokea na kukubali kukosolewa, kupingwa na hata kushauriwa.Enjoy😋 Nisapoti kwa ku-subscribe, ku-like, ku-share na ku-comment. Usisahau kuwa video hii imezalishwa kwa simu mwanzo mwisho hivyo:- Kwa msaada na maswala mengine WhatsApp +255698975627 Muziki🎶 An Epic Story by MaxKoMusic | https://maxkomusic.com/ Music promoted by https://www.chosic.com/free-music/all/ Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 Unported (CC BY-SA 3.0) https://creativecommons.org/licenses/...