Magoli yote | CFFA 0-4 Yanga SC | CAF Champions League 17/10/2026
Azam TV
0:00 / 0:00
Magoli yote | CFFA 0-4 Yanga SC | CAF Champions League 17/10/2026
148 406 просмотров · 7 ч назад
Azam TV
3,33 млн подписчиков
148 406 просмотров · 7 ч назад
CAF CL: Yanga SC ikiwa ugenini kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi, imepata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CFFA ya Madagascar, mchezo wa mkondo wa kwanza, raundi ya pili, Ligi ya Mabingwa Afrika.
Magoli yote manne ya ‘Wananchi’ wakiwa ugenini Azam Complex, Chamazi; Wafungaji ni Cheikh Toure, Albert Kangwanda, Mudathir Yahya na Maxi Nzengeli.