#LIVE|| ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA MAZISHI YA PADRE GODRICK MUNDEWA - JIMBO KATOLIKI SUMBAWANGA
Radio Maria Tanzania
0:00 / 0:00
#LIVE|| ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA MAZISHI YA PADRE GODRICK MUNDEWA - JIMBO KATOLIKI SUMBAWANGA
4 358 просмотров · Трансляция закончилась 1 дн. назад
Radio Maria Tanzania
101 тыс. подписчиков
4 358 просмотров · Трансляция закончилась 1 дн. назад
Karibu tushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea Marehemu Padre Gorick Mundewa, aliyefariki dunia Oktoba 30, 2026 kwa ajali ya gari na anazikwa leo Novemba 04 , 2026 Katika Makaburi ya Mapadre na Watawa Parokia ya Familia Takatifu Kizwite Jimbo Katoliki Sumbawanga.
Padre Godrick Mundewa, amefariki dunia akiwa na miaka miwili (2) ya Upadre na alikuwa ni Paroko wa Parokia teule ya Utatu Mtakatifu Chiwanda, na mwanzilishi wa Parokia tarajiwa ya Mtakatifu Yeronimo Lwasho Jimbo Katoliki Sumbawanga.
Misa Takatifu inaadhimishwa katika Parokia ya Familia Takatifu Kizwite na Mhashamu Beatus Christian Urassa, Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga.
.
.
.
Endelea kusikiliza Radio Maria Tanzania popote ulipo kupitia masafa ya:
📻Njombe 97.5FM.
📻Iringa 90.4FM,
📻Mbeya 91.7 FM,
📻Mafinga 90.4FM,
📻Kyela 106.1FM,
📻Sumbawanga 94.5FM,
📻Ileje 91.7FM.
.
www.radiomaria.co.tz
#KapulaMama2026
#UpendoniUshindi
#100200
#Kumbukumbunamba28