Перейти к содержимому

MBALAMWEZI EP 08, SINEMA ZETU HD

Kijani Originals

0:00 / 0:00

MBALAMWEZI EP 08, SINEMA ZETU HD

851 просмотр · 1 день назад
Kijani Originals
37 подписчиков
851 просмотр · 1 день назад
Leo Usiku Saa 1:30 Mpaka Saa 2 Kamili ndani ya #sinemazetu Mrs. Boga “Martha” @bi_jamilla Ndani ya mjengo, “Victor” @mlelandro anaamua kwenda kufungua kesi baada ya kuona mpaka sasa baba yake aonekani, “Bi. Kali” @theclamjatta anaendelea na mipango yake ya kuhakikisha mali zote zinarudi kwake.. Je nini hatma ya Familia ya Boga baada ya Mkewe Martha kurejea?? Tanya @miriamrobert anampango gani na baba yake Victor?? Tutizame Episode ya 8 ya @mbalamwezi_seriestz leo saa moja na nusu usiku ndani ya #sinemazetu katika kisimbuzi chako cha #azamtv USIKOSE 🌑 #mbalamweziseries #azamtvburudanikwawote #sinemazetu #azamtv #azamtvburudanikwawote #mbalamweziseries #sinemazetuhd