MADRASAT ANNUR WAKIFANYA BALAA VIWANJA VYA MUHAAJIRINA DODOMA🔥 | MAULID YA MTUME S.A.W | FULL VIDEO
ANNUR MUSLIMtv
0:00 / 0:00
MADRASAT ANNUR WAKIFANYA BALAA VIWANJA VYA MUHAAJIRINA DODOMA🔥 | MAULID YA MTUME S.A.W | FULL VIDEO
300 просмотров · 6 дней назад
ANNUR MUSLIMtv
23 подписчика
300 просмотров · 6 дней назад
Karibu kutazama video kamili ya Madrasat Annur katika hafla ya Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W), iliyofanyika katika Viwanja vya Muhaajirina, Dodoma.
Katika video hii utaona burudani ya dufu kutoka kwa Madrasat Annur, wakionesha vipaji na umahiri wao katika tukio hili maalum la Maulid.
🎥 VIDEO KAMILI
Usiache:
👍 LIKE video
💬 COMMENT
🔔 SUBSCRIBE
📲 SHARE n
MADRASAT ANNUR — NURUN ‘ALA NUR ✨
Asante kwa kutuunga mkono. Endelea kufuatilia ANNUR MUSLIM TV kwa video zaidi za Maulid, dufu, vipaji vya wanafunzi, madrasa na matukio mbalimbali.
#MadrasatAnnur #Maulid #Dufu #Dodoma #Muhajirina #MaulidYaMtume #AnnurMuslimTV #DufuYaKiislamu #Muhammadﷺ