Iijue Mahakama ya Kadhi! Mamlaka Yake Ni Gani?
Halaal Charity Tv
0:00 / 0:00
Iijue Mahakama ya Kadhi! Mamlaka Yake Ni Gani?
226 просмотров · 10 дн. назад
Halaal Charity Tv
5,21 тыс. подписчиков
226 просмотров · 10 дн. назад
tunazungumza kwa kina kuhusu Mahakama ya Kadhi, mamlaka yake, majukumu yake na aina ya masuala yanayoweza kushughulikiwa katika mahakama hiyo. Tumezungumza na Kadhi mwenyewe ili kupata ufafanuzi wa maswali ambayo watu wengi hujiuliza kuhusu Mahakama ya Kadhi na nafasi yake katika jamii.
Tazama mdahalo huu hadi mwisho na ujue zaidi kuhusu mamlaka ya Kadhi na Mahakama ya Kadhi.