AGIZO LA RAIS SAMIA LAANZA KUTEKELEZWA JIJINI MWANZA
BMG Digital
0:00 / 0:00
AGIZO LA RAIS SAMIA LAANZA KUTEKELEZWA JIJINI MWANZA
187 просмотров · 22 ч назад
BMG Digital
110 тыс. подписчиков
187 просмотров · 22 ч назад
AGIZO LA RAIS SAMIA LAANZA KUTEKELEZWA JIJINI MWANZA
Agizo la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu usafi na utunzaji wa mazingira limeanza kutekelezwa jijini Mwanza.
Utekelezaji wa agizo hilo lililotolewa hivi karibuni umeanza kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi kuzindua kampeni ya wiki mbili ili kuhamasisha wananchi kushiriki kufanya usafi katika maeneo yao.
Kampeni hiyo imezinduliwa Jumamosi Septemba 12, 2026 ilitarajiwa kudumu kwa siku 14 ikiwa na kaulimbiu “Nyamagana, Uchafu Sasa Basi”.