Перейти к содержимому

Makosa Shambani Yaweza Kuhatarisha Afya za Walaji | UTV Tanzania

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Makosa Shambani Yaweza Kuhatarisha Afya za Walaji | UTV Tanzania

105 просмотров · 4 дн. назад
UTV Tanzania
186 тыс. подписчиков
105 просмотров · 4 дн. назад
Matumizi yasiyofaa ya kemikali katika kilimo yanaweza kuhatarisha afya za walaji, hata pale mazao yanapovunwa, kusafirishwa na kupikwa kwa ajili ya matumizi. Mtaalamu wa Sayansi ya Chakula, Dkt. Elina Maseta, amesema wakulima wanapaswa kuzingatia taratibu za kilimo salama ili kuzuia uchafuzi wa mazao.