Перейти к содержимому

PSPTB YATOA SIKU 30 KWA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI KULIPA ADA KABLA YA KUWAFUTIA USAJILI

Daily News Digital

0:00 / 0:00

PSPTB YATOA SIKU 30 KWA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI KULIPA ADA KABLA YA KUWAFUTIA USAJILI

130 просмотров · 1 день назад
Daily News Digital
284 тыс. подписчиков
130 просмотров · 1 день назад
DODOMA- BODI ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi 9PSPTB) imetoa siku 30 kwa Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi nchini kulipa ada zao mwaka kabla ya kuwafutia usajili wao. - Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo, Godfred Mbanyi ameeleza hayo leo Septemba 14, 2026 wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mkoani Dodoma. - Imeandaliwa na Fadhili Akida - Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09