DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 04.09.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 04.09.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
6 570 просмотров · Трансляция закончилась 9 часов назад
DW Kiswahili
333 тыс. подписчиков
6 570 просмотров · Трансляция закончилась 9 часов назад
Haya ni miongoni mwa tuliyokuandalia katika Dunia Yetu Leo Jioni 04.09.2026 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn:
Umoja wa Mataifa watoa wito wa dola milioni 50 kwa ajili ya watu wa Nepal.
Jeshi la Israel limesema limechukua udhibiti wa eneo muhimu la milimani kusini mwa Lebanon.
Na nchini Ujerumani kampeini za kuelekea uchaguzi wa majimbo, zinashika kasi huku chama cha msimamo mkali wa siasa za mrengo wa kulia, kikipewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.