Перейти к содержимому

KATIKATI YA MAUMIVU, MUNGU ANASEMA: USIKATE TAMAA! | Pst. Elisha Zablon

Elisha Zablon

0:00 / 0:00

KATIKATI YA MAUMIVU, MUNGU ANASEMA: USIKATE TAMAA! | Pst. Elisha Zablon

2 581 просмотр · 1 год назад
Elisha Zablon
1,07 тыс. подписчиков
2 581 просмотр · 1 год назад
Je, unapitia maumivu makali, kukataliwa, huzuni, au kukata tamaa? Mtumishi wa Mungu Pst. Elisha Zablon anafundisha kwa ufunuo mkuu kuwa maumivu si mwisho wa safari yako, bali ni daraja la ushindi! Katika mahubiri haya ya kipekee utajifunza: ✅ Maumivu yana kusudi la kiroho ✅ Mungu huwa karibu zaidi wakati moyo wako umevunjika ✅ Kicheko chako kinakaribia – usikubali kulia milele ✅ Wale waliokutesa watashuhudia urejesho wako “Wakati wa maumivu makali, ndipo Mungu huandika ushuhuda mkubwa!” --- 🔔 USISAHAU: 👍🏽 Like kama ujumbe huu umekugusa 💬 Comment jinsi ulivyoguswa 📤 Share kwa mtu anayeumia au kukata tamaa 🔔 Subscribe kwa mafundisho zaidi kutoka kwa Pst. Elisha Zablon --- 📞 MAWASILIANO & MAOMBI: Pst. Elisha Zablon FPCT Alfa & Omega – Ilkushini, Ngaramtoni – Arusha 📱 0758 221 323 | 0623 564 062 --- #PstElishaZablon #MaumivuSioMwisho #KichekoChakoKinakuja #UjumbeWaFaraja #YesuAnaponya #MunguAnajibu #HubiriLaNguvu #UponyajiWaKiakili #RohoMtakatifuYupo #MoyoUlivunjika #NuruKatikatiYaGiza #ImaniYanguInaishi #UjumbeWaMbinguni #MotoWaUshindi #UsikateTamaa