LIVE: LISSU AONANA NA WAKILI, PADRI KITIMA AVUNJA UKIMYA, HECHE AIBUA UPYA SAKATA LA OKTOBA 29
HARAKATI TV
0:00 / 0:00
LIVE: LISSU AONANA NA WAKILI, PADRI KITIMA AVUNJA UKIMYA, HECHE AIBUA UPYA SAKATA LA OKTOBA 29
22 616 просмотров · Трансляция закончилась 2 дн. назад
HARAKATI TV
102 тыс. подписчиков
22 616 просмотров · Трансляция закончилась 2 дн. назад
LIVE: LISSU AONANA NA WAKILI, PADRI KITIMA AVUNJA UKIMYA, HECHE AIBUA UPYA SAKATA LA OKTOBA 29
Karibu katika kipindi cha ZILIZOKIKI, kinachokuletea habari zilizotrend, matukio makubwa na uchambuzi wa mambo yanayozungumzwa ndani na nje ya Tanzania.
Katika kipindi cha leo, Oktoba 30, 2026, tunakuletea mambo matatu makubwa:
MADHUHU AKUTANA NA LISSU!
Wakili Maduhu William amefika Gereza la Ukonga na kukutana na Tundu Lissu kwa zaidi ya dakika 45. Amesema amri ya Mahakama kuhusu haki ya kukutana na mteja wake imetekelezwa kikamilifu na mazungumzo yao yalifanyika kwa faragha.
HECHE NA LEMA WAFUNGUKA KUHUSU OKTOBA 29!
Mwaka mmoja baada ya matukio ya vurugu za baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, John Heche na Godbless Lema wametoa ujumbe kuhusu ukweli, haki, uwajibikaji na maridhiano ya kitaifa. Heche pia ametoa mapendekezo ya kutatua changamoto za kisiasa nchini.
VIONGOZI WA DINI WATOA KAULI!
Misa za kuwaombea waliopoteza maisha katika machafuko ya Oktoba 29, 2025, zimefanyika katika maeneo mbalimbali nchini. Lakini je, ujumbe uliotolewa na viongozi wa dini ulikuwa sahihi, au kuna mipaka waliivuka? Tunachambua kauli zao.
TUNATAKA MAONI YAKO:
Je, mwaka mmoja baada ya Oktoba 29, 2025, Tanzania imepata haki na majibu ya kutosha kuhusu yaliyotokea?
Andika maoni yako kwenye sehemu ya comment. Tushirikiane kujadili kwa hoja na kuheshimiana.
👍 LIKE
🔔 SUBSCRIBE
📲 SHARE VIDEO HII
Asante kwa kuendelea kutuunga mkono.
#TunduLissu #JohnHeche #chademalive, #CHADEMA #CCM #UVCCM #SiasaTanzania #HabariTanzania #harakatitv #TanzaniaLIVE #HarakatiTV