🔴#LIVE || MAKAMBI KIGAMBONI SIKU YA 06. 11/09/2026
HGS TANZANIA (The Heavenly Gate Singer’s)
0:00 / 0:00
🔴#LIVE || MAKAMBI KIGAMBONI SIKU YA 06. 11/09/2026
56 просмотров · Трансляция закончилась 6 часов назад
HGS TANZANIA (The Heavenly Gate Singer’s)
1,13 тыс. подписчиков
56 просмотров · Трансляция закончилась 6 часов назад
| IBADA YA MAKAMBI KIGAMBONI SIKU YA 06. 11/09/2026
Makambi kanisa la waadventista wasabato kigamboni.
Makambi (sikukuu za vibanda) ni sherehe za maadhimisho ya mwisho ya mwaka wa kibiblia zinazoambatana na shukrani kwa kibiblia kwa Mungu baada ya kumbariki mwanadamu kwa muda wa mwaka mzima katika shughuli zake (shamba,biashara au ofisini).
Tunaadhimisha sikukuu hizi za vibanda kama ilivyoelekezwa na Bwana katika kitabu cha kumbukumbu la Torati 16:13
sherehe hizi zitafanyika hapa kigamboni kwa siku saba hadi tarehe 12/09/2026.
sherehe zinaambatana na mafundisho ya ibada kuu kutoka kwa Mch. Ezekia Chaboma, masomo ya uongozi kutoka kwa Mch. Hiram kitururu, masomo ya unabii kutoka kwa Mch. Hashim Kitua na kwaya ya Beroya Mission, kigamboni adventist choir, Heavenly Gate singers(HGS), The Great symphony, Camp David, The choosen na The Samaritan
Mtu yeyote (aliye msabato na asiye msabato) anakaribishwa kuhudhuria sherehe za makambi, hududma ya chakula itakuwepo kuanzia asubui, mchana na usiku, Karibu sana ndugu na rafiki wa Mungu.