Перейти к содержимому

Kinywa kilichopo ndani ya ardhi | Part 2 | Pastor John Sembatwa

Pastor John Sembatwa

0:00 / 0:00

Kinywa kilichopo ndani ya ardhi | Part 2 | Pastor John Sembatwa

194 просмотра · 1 мес. назад
Pastor John Sembatwa
8,7 тыс. подписчиков
194 просмотра · 1 мес. назад
Katika habari ya Kaini na Abeli kuna jambo kubwa sana ambalo wengi hulipita bila kulitafakari kwa kina. Baada ya Kaini kumuua Abeli, Mungu alisema: “SAUTI YA DAMU YA NDUGU YAKO INANILILIA KUTOKA KATIKA ARDHI.” Lakini kuna nini ndani ya ardhi? Kwa nini damu ya Abeli ilimlilia Mungu? Na tukio hili linatufundisha nini kuhusu dhambi, wivu, hasira na matokeo ya matendo ya mwanadamu? Katika ujumbe huu tunachunguza kwa kina KILICHOPO NDANI YA ARDHI kupitia habari ya Kaini na Abeli, na kufungua mafundisho muhimu yanayoweza kubadilisha namna tunavyoelewa Tazama video hadi mwisho, kwa sababu huenda ukagundua jambo ambalo hukuwahi kuliona katika habari ya Kaini na Abeli. #KilichopoNdaniYaArdhi #KainiNaAbeli #Biblia #NenoLaMungu #MafundishoYaBiblia #ChristianContent #SwahiliChristian