Перейти к содержимому

TREAL - HAWAPENDI-(Official_Audio)

treal_tz🇹🇿

0:00 / 0:00

TREAL - HAWAPENDI-(Official_Audio)

370 просмотров · 12 дн. назад
treal_tz🇹🇿
853 подписчика
370 просмотров · 12 дн. назад
"Hawapendi" Ni nyimbo yenye maadhi ya Hip-hop ladha za trap inayoweza kusikilizwa sehemu yeyote ulimwenguni 🌎. Nyimbo hii inamaudhui yanayolenga watu wasiopenda maendeleo yetu, wanaobana ridhiki, wenye chuki za wazi bila sababu za msingi bila kujali nyuma wapo wangapi wanaoiona thamani ambayo haters hao hawaioni. Ni nyimbo ya kwanza ‪@Machame_Finest‬ kuimba na kurap ndani ya track moja bila kumshirikisha msanii yeyote. Hii ikasikilizwe na Hustlers wote na kuwakumbusha wasirudi nyuma licha ya kuwa na watu ambao hawapendi maendeleo. Naomba sapot ya kutosha na msichoke kunipa sikio, Like,coment & share ili kazi iwafikie wengi. Producer Wallec kutokea Amazing Sound 🔊 amehakikisha Audio kuanzia vocal, mixing na Mastering vinafanya track isound like that.