Simba 3-0 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 02/10/2022
Azam TV
0:00 / 0:00
Simba 3-0 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 02/10/2022
403 761 просмотр · 3 года назад
Azam TV
3,3 млн подписчиков
403 761 просмотр · 3 года назад
Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Magoli ya Simba yametoka kwa Abdalla Shaibu 'Ninja' aliyejifunga dakika ya 5, Moses Phiri dakika ya 45 na Habibu Kyombo dakika ya 85.