Перейти к содержимому

Ulisema Naposhindwa Nikuite|Deep Swahili Worship and prayer

Sifa Na Maabudu Songs

0:00 / 0:00

Ulisema Naposhindwa Nikuite|Deep Swahili Worship and prayer

98 608 просмотров · 6 мес. назад
Sifa Na Maabudu Songs
800 подписчиков
98 608 просмотров · 6 мес. назад
Karibuni katika kipindi hiki cha sifa na kuabudu kupitia nyimbo hizi mbili zenye baraka: "Ulisema Naposhindwa Nikuite" na "Uniongoze". Nyimbo hizi ni ukumbusho wa uaminifu wa Mungu anapotusaidia katika udhaifu wetu na kutuongoza kila hatua ya maisha yetu. Tunaamini kuwa ujumbe huu utagusa moyo wako na kukuimarisha kiroho. Usisahau kusubscribe, kulike, na kusambaza video hii ili iwe baraka kwa wengine pia. #Maombi, #Sifa, #Kuabudu, #NyimboZaInjili, #SwahiliWorship, #Injili, #MunguNiMwema, #NenoLaMungu, #Imani, #Baraka, #Kristo, #Uaminifu, #Kiroho, #MuzikiWaInjili, #Uniongoze, #Ulisema, #KenyaWorship, #TanzaniaGospel, #GospelAfrica Chapters: 00:00_ Ulisema Naposhindwa Nikuite 05:58_ Uniongoze