Перейти к содержимому

WANANCHI WA SONGEA WANATAKA MRADI WA SOKO UKAMILIKE

KUSINI NEWS

0:00 / 0:00

WANANCHI WA SONGEA WANATAKA MRADI WA SOKO UKAMILIKE

353 просмотра · 2 нед. назад
KUSINI NEWS
27,7 тыс. подписчиков
353 просмотра · 2 нед. назад
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed amemuagiza mkandarasi anayetekeleza mradi wa soko la Manzese Manispaa ya Songea kuhakikisha anakamilisha ahadi ya kutekeleza mradi huo kwa sababu wananchi wanataka soko. RC Abbas ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kukagua miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa na serikali katika manispaa hiyo.