Diamond Amekwisha! Zari Kamwambia "Utakoma Tu Mwenzangu"
Global TV Online
0:00 / 0:00
Diamond Amekwisha! Zari Kamwambia "Utakoma Tu Mwenzangu"
157 461 просмотр · 8 л. назад
Global TV Online
5,96 млн подписчиков
157 461 просмотр · 8 л. назад
Diamond Amekwisha! Zari Kamwambia "Utakoma Tu Mwenzangu"
Kati ya habari zinazotrend kwa sasa ni hii ya Zari kumwaga manyanga kwa kutangaza kulitema penzi la na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram kuna kitu ambacho kimeibua mjadala wengi wakihoji, ni kweli wawili hao wameachana au ni kiki tu?
Alichoposti Zari ni video ikimuonesha akiangalia TV inayoonyesha wimbo wa Diamond uitwao Sikomi.
Hapo sasa wadau wanauliza, kama kweli wameachana, Zari anapata wapi ujasiri wa kuutazama wimbo huo? Au ndiyo yale mambo yetu ya kiki? Acha tuone!
Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .