Перейти к содержимому

NAIBU WAZIRI WEMA KUTOA SALAMU ZA POLE KISIWANI PEMBA.

Mboja Ramadhan Mshenga

0:00 / 0:00

NAIBU WAZIRI WEMA KUTOA SALAMU ZA POLE KISIWANI PEMBA.

2 776 просмотров · 6 дн. назад
Mboja Ramadhan Mshenga
9 подписчиков
2 776 просмотров · 6 дн. назад
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Lela Muhamed Mussa pamoja Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Mboja Ramadhan Mshenga wamefika Kijiji cha Masota na Kwale Kisiwani Pemba, kufikisha salamu za rambirambi na kuzifariji Familia zilizokubwa na majonzi mazito kufuatia kifo cha Mwanafunzi Raiyan Hemed Amour aliyeuwawa kikatili na Mwalimu Salma Moh’d Suleiman, aliyefariki kutokana na shoti ya umeme. Mwenyezi Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi. Amin.