Ibada Ya Tatu | 23 / 08 / 2026
Azania Front Cathedral
0:00 / 0:00
Ibada Ya Tatu | 23 / 08 / 2026
413 просмотров · Трансляция закончилась 5 дней назад
Azania Front Cathedral
5,62 тыс. подписчиков
413 просмотров · Трансляция закончилась 5 дней назад
Karibu kwenye Ibada ya Jumapili, Siku ya Bwana ya12 baada ya Utatu.
🧾 SOMO: TUTUMIE NDIMI ZETU KWA UTUKUFU WA MUNGU
🖋️ Masomo : Yakobo 3: 5 - 12
8 Bali ulimi hakuna awezaye kuufuga; ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti.
9 Kwa huo twamhimidi Mungu Baba yetu, na kwa huo twawalaani wanadamu waliofanywa kwa mfano wa Mungu.
10 Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, haifai mambo hayo kuwa hivyo. ....
🗣️ MHUBIRI: REV.VICTOR MAKUNDI
.............
👇👇👇
KWA MAOMBI NA USHAURI:
☎️ +255 748 290 290
MCH. VICTOR MAKUNDI
SADAKA:
M-PESA LIPA NO:
579 579 4
#azaniafrontcathedral #ibadahonline #lutheran #mungukwanza