Dalili za ugonjwa wa figo : Zifahamu dalili kuu za awali za maradhi ya figo
Mshani Wellness
0:00 / 0:00
Dalili za ugonjwa wa figo : Zifahamu dalili kuu za awali za maradhi ya figo
45 264 просмотра · 2 г. назад
Mshani Wellness
102 тыс. подписчиков
45 264 просмотра · 2 г. назад
Figo ni moja ya kiungo muhimu mwilini, vilevile ni moja ya kiungo kinachoshambuliwa na maradhi mbalimbali kama vile mawe kwenye figo, uvimbe na mlundikano wa mafuta. Kuna dalili kadhaa ambazo hujitokeza ikiwa figo zako zitapatwa na matatizo. Baadhi ya dalili hizi ni kukojoa damu, mkojo wenye povu, maumivu ya mgongo na kukojoa mara kwa mara au kukosa mkojo kabisa.
Katika video hii utafahamu Dalili za ugonjwa wa figo na kwanini dalili hizi zinajitokeza.
YALIYOMO
00:00 Kazi za figo
01:55 Dalili za ugonjwa wa figo
Follow us on:
Facebook: / mshaniwellness
Instagram: / mshani_wellness
Twitter(X): / mshaniwellness
TikTok: https://www.tiktok.com/@mshani_wellne...
Contact: 0743039890