Huduma na Haki za viumbe zitolewazo na Jumuiya ya Waislamu wa AhmadiyyaSheikh Abid Mahmood
Jalsa Salana Tanzania
0:00 / 0:00
Huduma na Haki za viumbe zitolewazo na Jumuiya ya Waislamu wa AhmadiyyaSheikh Abid Mahmood
17 просмотров · 2 недели назад
Jalsa Salana Tanzania
719 подписчиков
17 просмотров · 2 недели назад
Hotuba hii ilitolewa wakati wa Mkutano Mkuu wa 54 wa waka wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Jalsa Salana Tanzania
Jalsa salana ni Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumujiya ya Waislamu wa Ahmadiyya
Mkutano huu hufanyika Kila mwaka Na kwa mwaka huu umefanyika kuanzia tarehe 26 hadi 28 Septemba 2025.
Jumuiya ya Waislamu wa ahmadiyya ni Taasisi ya kiislam inayopatikana Mikoa yote Tanzania na karibia wilaya zote za Tanzania, Pia inapatikana Duniani kote ambapo ipo katika zaidi ya nchi 200.
Jumuiya ya waislamu wa ahmadiyya ina Kiongozi wake mkuu mwenye cheo KHALIFA ambaye sasa niwa tano toka kuanzishwa kwake. Ukhalifa wa kiahmadiyya umepatikana katika misingi ya kinabii.
Unaweza kujifunza zaidi kuhusu Ahmadiyya na Uislam kwa ujumla kupitia tovuti ya https://www.alislam.org/ au kwa kiswahili kupitia tovuti ya https://ahmadiyyatz.net/
pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii kupitia Viunganishi (links) vifuatavyo Instagram bonyeza link hii
https://www.instagram.com/jalsa_tanza...
Facebook bonyeza Link hii hapa Chini
https://www.facebook.com/jalsatz?mibe...
Pia Twitter
https://twitter.com/Jalsa_Tz?t=bC45Ol...
UPENDO KWA WOTE CHUKI SI KWA YEYOTE
LOVE ROF ALL HATRED FOR NONE