MASWALI LIVE: KARIBU IKIWA UNA MASWALI KUHUSU IMANI
BAYYINAT DM TV
0:00 / 0:00
MASWALI LIVE: KARIBU IKIWA UNA MASWALI KUHUSU IMANI
542 просмотра · Трансляция закончилась 1 день назад
BAYYINAT DM TV
45,5 тыс. подписчиков
542 просмотра · Трансляция закончилась 1 день назад
Shalom! Wapendwa wengi wamekuwa wakinipigia simu wakiuliza maswali mbali mbali. Kutokana na hitaji hilo, nimeguswa niandae kipindi cha maswali leo. Kwa Neema ya Mungu leo kutakuwa na kipindi hicho. Hivyo andaa swali lako na uwe tayari kuingia LIVE ili swali lako linapojibiwa liwe msaada hata kwa wengine. Karibu